Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Namuona Tyson Furry akitunishiana na Mzee wa "get these hands" mnyama Strowmen
 
Huyo ndiye kiboko ya Lesnar, alishamchakaza kule UFC.
 
koffi olomide?
Hahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.
 
maana walau music tunasikia kuna koffi olomide mwingine alikwa koffi annaan alishakufa sasa kuibuka na jina kofi sikuelewa wengine wahenga jamani! ila tukio mchanganyiko ni vema mtu akianzisha thread basi aidadavue wengi wajue vinginevyom anakuwa ananena kwa lugha
 
Hahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.
mkuu siwezi kukuamini kwa kuandika tu toa ushaidi ili watu wakuelewe au nawewe unaskilizaga stori za vijiweni tu na kuamini.
 
Hahaha...kweli kila mtu na starehe yake, sikutegemea kama kuna mwanaume anaweza kaa akapoteza muda wake kuangalia hayo maigizo ya mieleka na kufikia hatua ya kuanzishia uzi humu, wengi wanajua kinachotokea hapo ni halisi wakati ni script inachezwa.
Tumeubwa tofauti mkuu mm hua naumia sana nikikosa mieleka. Ila siwezi kutizama mpira wa miguu na nikitizama kesho siwezi hata kumkumbuka aliefunga goli.
 
nimekuelewa vizuri mkuu.
 
Yale ni maigizo tu. Wazungu wanalipia kwenda kuangalia burudani. Ndo maana inaitwa enterntiment na sio competition
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…