Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuIle ni by product from organic matters tena hasa hasa uyogaa,
Haina madhara kiasi hicho, unless uitumie ukiwa hujui character ya ngozi yako mfn pH na mafuta,
si unajua ngozi yenye afya inatakiwa angalau pH ya 5.5?,
wanaoshauriwa kutumia hiki kipodozi ni hasa wenye mizunguko ya sehemu za jua sana na mama wajawazito(baadhi ya wajawazito hutoka madoa madoa sana kipng cha ujauzito).
Si unajua hio rangi ya ngozi(hapa sizungumzii wale wenye rangi mbili), nywele na macho ni kazi ya melanini ee?
Na melanini nayo inatengenezwa na tyrosone(sini uhakika sana na spellings)
basi hiki kipodozi kazi yake ni kupenya kwenye ngozi na kwenda kuzuia ufanisi wa hii tyrosone(ni amino acid) kwaio basi,
km umemzuia anayetengeneza melanini, basi umezuia melanini yenyewe na matokeo ya melanini(ambayo ndio madoa sasa/rangi mpya).
Kwa lugha nyingne:
kazi yake kubwa ni kuzuia formation/development of new colour on the skin, kwa kutoa colour pigment inhibitors,
Unatakiwa uipake sehemu yenye madoa,(hakikisha unasoma ingredients and % compositions, hii haitakiwi izidi asilimia mojaa, laa sivyo utababuka)
kwaio km ngozi yako iko poa hushauriwi kuigusa, uta distabilize body pH matokeo yake unatengeneza bomu.
Kama sijaeleweka, waweza tafta mtu aliechukua Bch of chemistry chuo kbsa, km sio hivi vyuo vya kanya twende hii kitu haiwez kua ngumu kwake, au aliyebobeaa kwenye organic na pharmasist pia.
Ila ninachoweza kusema ni haina madhara kiasi hicho km utafuata utaratb na vigezo.
Sasa wewe shangaa shangaa tuu ujipakaze tuu usipovaa hijabu hata km ni mlokole kuficha uso.