Kojoleo la mwanangu

eima

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
45
Reaction score
28
Salam kwenu Doctors, jamaani sijui kama ni tatizo, mwanangu ana miezi 4 ni wa kiume, tangu nimejifungua anakojoa penis yake ina erect na akikojoa anarusha mbali akiwa hayupo daipers..

Sasa kama wk 2 hivi siioni tena hiyo hali, akikojoa unaishia tu hapo karibu, doctors is it normal?
 
Hakuna shida hapo jamani Nina mtoto wa kiume.. Nahisi inategemea na wingi wa mkojo na force yake! Yaani mkojo kidogo haurushi mbali lakini ule mwingi unakuja na force akikojoa unaona mkoja una speed kubwa( kwa saizi yake).. Mimi siyo doctor.. Maneno / mawazo yangu yanaweza kukosolewa.
 
hahahaha, wazazi hatutaki kuzaa mahanithi......., kwa uzoefu wangu ni hali ya kawaida..., relax
 
Hivi Jf moderators hamuoni tatizo la kiuandishi katika mada hii ama ndo yale yale mnaaga mko kazini kumbe kazi ni kusugua kucha tu, msituharibie lugha yetu hadhimu na ufasaha wake. Ni bora panapokuwa panawashinda mkauliza wataalamu Bakita naamini wanaweza kuwasaidia sana, kikojoleo ndo mdudu gani?
 

Kwa hiyo wewe ulitakaje? Rekebisha basi wewe, mimi nimefikisha ujumbe

Hadhimu= adhimu
 

Huyo mtoto kafuata tabia ya baba yake utotoni na ujanani. Chondechonde asiige tabia za Diamond.
 

Uume/ (mods mkinipiga ban basi mnanionea mshkaji kauliza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…