Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Mkandarasi wa barabara ya Tarime Mjini - Nyamongo awe makini baada ya kurundika kokoto barabarani, sasa wananchi wanazichota usiku kwenda kujengea majumbani kwao.
Mkandarasi na Jeshi la Polisi waangalie hili.
========
UPDATES...
Akizungumzia madai hayo ya wizi wa kokoto, Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS - Mkoa wa Mara), Vedastus Maribe amesema “Sijapata hiyo ripoti ya wizi, pamoja na hivyo jukumu la ulinzi wa mali na miundombinu lipo chini ya Mkandarasi na kama kukiwa na changamoto yoyote atatujulisha au ataripoti Polisi.”
“Tulikuwa huko na Mkuu wa Mkoa wiki iliyopita hatukupata hiyo ripoti, inawezekana unafanyika wizi mdogomdogo ambao bado haujafikia kiwango cha kuathiri mradi.”