DOKEZO Kokoto zinaibwa kwenye barabara ya Tarime Mjini-Nyamongo inayojengwa kwa kiwango cha lami

DOKEZO Kokoto zinaibwa kwenye barabara ya Tarime Mjini-Nyamongo inayojengwa kwa kiwango cha lami

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwani mwananchi anapata asala gani kama kuiba wanamuita mchina aliyelipwa pesa, ni sawa na wewe nikulipe pesa ujenge bara bara ya chalinze dar kwenye site yako uibiwe vifaa kwa akili yako mimi nitakulipa fidia ?
Ukiwa na ufinyu wa mawazo na uwezo mdogo wa kufikiri utaona ni sahihi kuiba vifaa vya ujenzi wa miradi ya umma na unasahau kwamba vifaa vikiibiwa unapata mradi chini ya kiwango
 
KILICHOUBWA NI KOKOTO ILA CHA AJABU KINACHOONGELEWA NI SUALA LA KUTAHIRIWA NA JANDO😜
 
Hizo kokoto tangu zimwagwe hapo zina muda gani?
Jr kazi inafanyika?

Ova
 
Back
Top Bottom