Kwani mwananchi anapata asala gani kama kuiba wanamuita mchina aliyelipwa pesa, ni sawa na wewe nikulipe pesa ujenge bara bara ya chalinze dar kwenye site yako uibiwe vifaa kwa akili yako mimi nitakulipa fidia ?
Ukiwa na ufinyu wa mawazo na uwezo mdogo wa kufikiri utaona ni sahihi kuiba vifaa vya ujenzi wa miradi ya umma na unasahau kwamba vifaa vikiibiwa unapata mradi chini ya kiwango