abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 850
- 781
Wadau, nimeambiwa eti kuna aina ya kokoto maalum zinazonyonya maji kupeleka ardhini.
Je, nani anazijua na zinapatikana wapi? Maana kuna maji ya pavement tumeyatengenezea mfereji lakini mvua ikiwa imepiga kubwa yanachelewa kukauka mferejini.
Na hamna sehemu ya kuyatoa zaidi ya hapo maana mbele ni barabara na hakuna miundo mbinu ya kutoa maji machafu.