tinkibiruka mhaya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 929
- 794
Hahaha umenichekesha umenikumbusha eric omond analizungumziaga sana hilo suala la nyimbo za kenya eti mtu ana mtongoza binti ila cha ajabu stail anayotumia ndo kama hayo ma midundoNi kweli yaani yale mamidundo ya Kenya hata hayaeleweki , yaani hawataki kubadilika mfano nyimbo ya Fimbo chapa na midundo ya staili hiyo wasitegemee kufika mbali