Kolabo yampeleka Kiba MTVMama

Ni kweli yaani yale mamidundo ya Kenya hata hayaeleweki , yaani hawataki kubadilika mfano nyimbo ya Fimbo chapa na midundo ya staili hiyo wasitegemee kufika mbali
Hahaha umenichekesha umenikumbusha eric omond analizungumziaga sana hilo suala la nyimbo za kenya eti mtu ana mtongoza binti ila cha ajabu stail anayotumia ndo kama hayo ma midundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…