Elections 2010 Komandoo Dk Salmin Amour atua Dodoma na Siri moyoni!

Elections 2010 Komandoo Dk Salmin Amour atua Dodoma na Siri moyoni!

Usemayo yana ukweli, sioni mtu akipitishwa hapo zaidi ya Shein. Ila kitakachotokea baada ya hapo kwangu ndio itakuwa news.
Nakuunga mkono kwa 100%, the news is not whether Dr. Shein is a CCM candidate or not, definitely is going to be him even Nahodha knows that except Bilal, but the news will be the aftermath of the nomination.
 
Mfumo wa CCM kuchagua mgombea uraisi Zanzibar kupitia tiketi ya CCM ni wa CCM.Kama una walakini basi ni pigo kwao kwa uchaguzi mkuu ujao.Lakini kama ni bomba basi watapita kwa kishindo.Tusubiri uteuzi,yetu ni macho.
 
Hawa makachero wa Bilali watarudi ZNZ na vilio kama ilivyotokea mwaka 2000. Hatuwezi kuendelea kuchagua kundi la wana CCM wanaowabagua wana CCM wenzao kwa vile tu wanatoka kisiwa cha Pemba. DR Shein yuko na uwezo zaidi hasa ukizingatia amefanya kazi kwenye serikali zote mbili na Ameshika Nafasi kubwa zaidi kuliko Bilali na Nahodha , huu ndio ukweli Bilali hajakomaa kama Kiongozi kwani Kiongozi hawezi kuwa na makundi.

Mbona Kikwete alikuwa na kundi lake la wanamtandao na akaukwaa Urais ?
 
Back
Top Bottom