Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
- Thread starter
- #21
Kombe la yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lile jikombe la msimu ulioisha sijui lilitengenezwa na fundi Michael 🤣Yummy
Lina
Sanaaaa
AahhaaaaaaLile jikombe la msimu ulioisha sijui lilitengenezwa na fundi Michael 🤣
AahhaaaaaaLile jikombe la msimu ulioisha sijui lilitengenezwa na fundi Michael 🤣
AahaaaaaaLile la mwaka jana waachie Yanga moja kwa moja kama zawadi ya unbeaten. Liliwapendeza sana.
Yupo sahihi lile sio kombe Bora mnyimwe kabisa kuliko kupewa nguzo ya umeme
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yupo sahihi lile sio kombe Bora mnyimwe kabisa kuliko kupewa nguzo ya umeme
Kha! Kombe kama vile vifuniko vya curtain rods za kichinaRasmi bingwa wa ligi kuu ya NBC atakabidhiwa kombe hili 🙌🙌
Yapi maoni Yako juu ya muonekano Mpya kwa Kombe hili?
View attachment 2648913
Mayele yupo level za CAF sasa hivi.Makolo hawataki kusikia habari kama hizi. Faraja ndogo waliyonayo saiz ni Mayele asiwe mfungaji bora
Ndio maana yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado ni baya lina masikio kama ya ngiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata hili kidogo lina viwango. Ila siyo ile takataka ya mwaka jana.
Hili pia ni la YangaHili walau unaweza kuliita kombe. Si lile la Yanga aisee