Kombe jipya la NBC Premier League hili hapa dondosha maoni yako

Ni zuri... ila ndio hivyo kama kawaida ni copy... labda idea zimeisha
 
Bora hata hili kidogo lina viwango. Ila siyo ile takataka ya mwaka jana.
 
Makolo hawataki kusikia habari kama hizi. Faraja ndogo waliyonayo saiz ni Mayele asiwe mfungaji bora
Mayele yupo level za CAF sasa hivi.

Huku Saido hana hata goli la offside, ndio utajuwa maana ya international straiker siyo hayo maigizo ya mtu kuifunga maiti goli tano.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 1
Hili walau unaweza kuliita kombe. Si lile la Yanga aisee
 
Kama sio la silver au dhahabu angalau kwa uchache mlipeleke JALALANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…