Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Tuchezee uwanjani lakini, sisi mipira ya meza hatujuindala wanatakata ngoja tuwasubiri semi final
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuchezee uwanjani lakini, sisi mipira ya meza hatujuindala wanatakata ngoja tuwasubiri semi final
Mezani FC mbona mna nongwa... Anaejua anajua tu brazaNdara 1
Kwani lilikuwaje mkuu? Jamani hii ni mechi ya ligi au ya kirafiki?Hakyanani goli alilofunga Msuva lazima Haji Manara atakuwa amekaa chini sehemu anamwagikwa machozi.
Yanga 3_Tzp 0.....Nipo sitimbi king'amuzi kimestaki ngapi ngapi wadau Taifa
Na tumeomba tuwe kumi uwanjani, nyi mmesahau mlivyochukua za azam eeeTuchezee uwanjani lakini, sisi mipira ya meza hatujui
Alikosea. Sio mpigwe magoli uwanjani halafu mnaanza kulia. Kwani ni mara yenu ya kwanza kufanywa Kagera?Na tumeomba tuwe kumi uwanjani, nyi mmesahau mlivyochukua za azam eee
Rufaa ya kupinga matokeo inaandaliwa. Kwa nini Yanga wamemchezesha Chirwa ambaye alikuwa amegoma?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] DahRufaa ya kupinga matokeo inaandaliwa. Kwa nini Yanga wamemchezesha Chirwa ambaye alikuwa amegoma?
Hakyanani goli alilofunga Msuva lazima Haji Manara atakuwa amekaa chini sehemu anamwagikwa machozi.