Kombe la bonde la mto nile

Kombe la bonde la mto nile

Halftime 3-0. Nadhani tatizo ni wachezaji wetu walishafungwa kabla hata awajaingia uwanjani. Kukosa ujasiri ni kosa kubwa sana. Inabidi wajiamini. Wao ni mabingwa wa afrika Mashariki na kati. Wangeingia uwanjani na kujiamini wasingefungwa kiasi hiuki cha mabao. Sawa, Misri wako juu kisoka, lakini siamini kuwa wako juu kiasi cha kuipa Stars kipigo cha mbwa mwizi. Anyways, tusubiri kipindi cha pili labda watakuja na uhai zaidi.
 
Mi naona nilale tu maana hapa hakuna dalili hata za kufutwa machozi....
 
kiwango cha soka Tz kipo chini sana , huo ndio ukweli.
 
aidha wamisri wameamua kutotuadhiri, ama stars wameamua kupiga pasi sasa
 
du, i talked too soon, 4-0 basi. nisubiri tu blackburn vs liverpool
 
huyu jamaa hakufundishwa kutia mpira kimyani? duh!
 
nani anayafadhili haya mashindano?

The Nile Basin championship has been organized by the Egypt Football Association in conjunction with the country's government.

The aim of the tournament is to create awareness to safeguard the Nile River water resource for the benefit of future generations.
 
Hawa jamaa maji yetu wanachukua, na kutufunga kwenye kabumbu kila mwaka. Total supremacy.
 
naona tumepata moja na sisi. Ila umaliziaji bado hatupo makini kabisa.
 
What did you expect? Kumfunga Misri kwao kwa mpira wetu wa mdomoni?
 
Na sasa hivi ni 5-1 uhhhh.....yaani wanafikiri misri wako kama mia.
 
mpira umekwisha, tumelala 5 - 1. soccer letu bado kabisa.
 
Hawa jamaa maji yetu wanachukua, na kutufunga kwenye kabumbu kila mwaka. Total supremacy.

Nanren, wanaochukua maji ni sisi. Mto Nile unamwaga maji Ziwa Victoria, na sio kwamba unatokea hapo na kupeleka maji Misri.
 
Back
Top Bottom