SpinDoctor
Member
- Apr 16, 2009
- 59
- 0
Angalieni magoli ya stars hapa:
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=9Ila_r3CEwg[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=9Ila_r3CEwg[/ame]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maximo mwenyewe pale alipokuwa alikuwa anajisikia kupaa, maana wanoko walishamdis kishenzi ati anaua timu, sijui leo watasemaje!
Nahisi Zenji wanawimbo wao, lkn wangepiga wimbo mmoja wa URThalafu utapigwa wimbo gani wa Taifa!
Kibunango atakujibu!
duh bongonians kiboko, yani kuifunga timu ya 151 kwenye fifa ranking tayari mnaona maximo anafaa?
Maximo big up sana nadhani mziray sasa kapata jibu
a win is a win!!!
tunachotaka ni kombe, hatuna haja ya kuangalia sana ni njia gani tumepitia mpaka kulipata hilo kombe.
Baada ya hapo ndo tutamuelewe vizuri maximo anafanya nini..
mmhhh......kweli mambo si mchezo,..... game limeisha au bado?zanziba 1 uganda 2 zanzibar wanabonyezwa kikwao
Kazi kwetu kwa rwanda.....waliobahatisha huwa wanaishia nusu fainali.....tumsubirie Maximo na one man show.....