Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo sisi wa tanganyika ndiyo unatuita "machogo"? Nini maana ya neno hili? Kama hutamind kutufahamisha.
Eei nilikuwa nimalizie Xmass ndio niibuke tena hapa JF ,lakini ulipangalo silo alilokuekea Mwenyezi Mungu,ni baada ya kusikia Zanzibar imetoa kipigo cha paka mwizi.
Yaani huku kwetu tunamsemo unasema kupuruzia na pale mwanzo tuliwapuruzia angalau mpate kuvuka na hamkuwa na fadhila ,maana kumbe hata nchi mnayowakilisha haipo ,sielewi mmetokea nchi gani ,yaani mmeingia katika mashindano ya watu kinyemelanyemela na kutaka kujifanya mnajua kucheza kuliko watu wenye nchi zao.
Sasa hata ushindi wa tatu mmeukosa na mnarudi mlikotoka sijui mmetoka wapi.Nasikia ni kutoka Tanzania ila nijuavyo Tanzania ni Muungano wa nchi mbili moja ikiwa ipo na ingine imefulia tokea miaka ya sitiini.
Hivyo ile haki ya nyie kushiriki katika kombe hilo hamna kabisa na ushindi mliopata ungeweza hata kukatiwa rufaa ,isipokuwa huruma tu ndio zimewakumba kama waliotoka kwenye mafuriko.
Mara ingine msishiriki katika mashindano ya watu wenye nchi zao ambazo zipo hai na zitaendelea kuwepo.Kwanza ni aibu kushiriki mnadusa katika mambo ambayo nyie hayawahusu.
Zanzibar imetoa somo kubwa sana na itabidi kwanza mujiulize Zanzibar imeifunga nchi gani ? Ndio muweze kujibu hii hoja kama haitoshi muulizeni Pinda hivi nyie mukiwakilisha nchi gani na katika kugombea mshindi wa tatu ni nchi gani iliwafunga ,Je hii ni nchi ? Mbona imetufunga nje ya mipaka ya Tanzania na wewe ulisema si nchi nje ya mipaka ? Lazima atakwambieni Kikwete ndie aliesema hivyo.
Kila siku nilikuwa namtetea MAKIZIMO, lakini kwa kufungwa na hawa rojorojo ITS TIME FOR HIM 2 GOOOOO.Aondoke now more than later,uwezo wake umeishia hapa,tunataka kocha mwingine wa kuendeleza alipoishia.Habari za uhakika nilizopata hivi punde leo Maximo ameweza kuiandikia timu ya taifa historia nyingine
ya kufungwa na Zanzibar!
Kila siku nilikuwa namtetea MAKIZIMO, lakini kwa kufungwa na hawa rojorojo ITS TIME FOR HIM 2 GOOOOO.Aondoke now more than later,uwezo wake umeishia hapa,tunataka kocha mwingine wa kuendeleza alipoishia.
PERTITION:
MAXIMO MUST GOOO NOW!!!!!!!PLZZZZZZZ!
Eei nilikuwa nimalizie Xmass ndio niibuke tena hapa JF ,lakini ulipangalo silo alilokuekea Mwenyezi Mungu,ni baada ya kusikia Zanzibar imetoa kipigo cha paka mwizi.
Yaani huku kwetu tunamsemo unasema kupuruzia na pale mwanzo tuliwapuruzia angalau mpate kuvuka na hamkuwa na fadhila ,maana kumbe hata nchi mnayowakilisha haipo ,sielewi mmetokea nchi gani ,yaani mmeingia katika mashindano ya watu kinyemelanyemela na kutaka kujifanya mnajua kucheza kuliko watu wenye nchi zao.
Sasa hata ushindi wa tatu mmeukosa na mnarudi mlikotoka sijui mmetoka wapi.Nasikia ni kutoka Tanzania ila nijuavyo Tanzania ni Muungano wa nchi mbili moja ikiwa ipo na ingine imefulia tokea miaka ya sitiini.
Hivyo ile haki ya nyie kushiriki katika kombe hilo hamna kabisa na ushindi mliopata ungeweza hata kukatiwa rufaa ,isipokuwa huruma tu ndio zimewakumba kama waliotoka kwenye mafuriko.
Mara ingine msishiriki katika mashindano ya watu wenye nchi zao ambazo zipo hai na zitaendelea kuwepo.Kwanza ni aibu kushiriki mnadusa katika mambo ambayo nyie hayawahusu.
Zanzibar imetoa somo kubwa sana na itabidi kwanza mujiulize Zanzibar imeifunga nchi gani ? Ndio muweze kujibu hii hoja kama haitoshi muulizeni Pinda hivi nyie mukiwakilisha nchi gani na katika kugombea mshindi wa tatu ni nchi gani iliwafunga ,Je hii ni nchi ? Mbona imetufunga nje ya mipaka ya Tanzania na wewe ulisema si nchi nje ya mipaka ? Lazima atakwambieni Kikwete ndie aliesema hivyo.
Mgombea Ubunge kama utasafiria dau hilo ubunge utaukosa ,unasema timu haya tuchukulie timu, hizo timu zinatoka nchi gani ? Je kuna uwezekano wa kuishirikisha au kushiriki kwa Simba au Yanga .JKU au Jamhuri katika mashindano hayo naona lipo kombe la washindi na Zenji nao wanatoa yao ? Hata kwenye kombe la dunia Zenji nao wanashiriki fitina zenu ndio ziliwaharibia lakini kwa kisago hiki naona ujumbe utakuwa umefika FIFA.
Hapa nahitaji mumuulize Pinda mmefungwa na nchi gani ?
Kwa hiyo sisi wa Tanganyika ndiyo unatuita "Machogo"? Nini maana ya neno hili? kama hutamind kutufahamisha.