Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
SIjui unakimbia kivuli chako maana hapo panashirikishwa nchi sasa pale naiona Zanzibar Heroes ambayo inatoka Nchi ya Zanzibar na kuna Kilimanjaro hiyo inatoka nchi gani ? Sasa unaposema vyama vya michezo hivyo vyama inabidi viwakilishe Nchi kwa ujumla wake ili ipate timu ya Taifa la Nchi hiyo itakayoshiriki katika mashindano hayo kwa mantiki hiyo unapoitaja FAT na ndio imeipeleka Kili basi hapo ndipo mlipopenya kinyemela ,siwezi kukubaliana na wewe kuwa Kili inawakilisha Tanzania ,Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili ,Zanzibar na Tanganyika ,kaka Tanganyika haipo au naongopea ? Suali Kili iliwakilisha nani au Inchi gani ?we mzenji mbona huelewi? hakuna nchi mwanachama wa fifa, caf, cecafa wala uefa. wanacham huko ni vyama vya michezo tu, full stop. chukulia mfano wa muungano wa uingereza, ennland, scotland na ireland wote wana uanachama fifa na uefa. ndio maana hata siku moja huwezi kusikia timu a united kingdom imefuzu kucheza fainali za kombe la dunia, au euro, siku zote utasikia england, scotlandau ireland zimefuzu!!!!
hilo swali ni dogo sana kwa mkubwa pinda, kama hujanielewa basi labda maximo ndiye wa kujibu zaidi