Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Habarini za muda huu...
Hii nimeikuta sehemu kwenye pita pita zangu nikaona nichangie na nyie...
Zikiwa zimebaki siku chache kushuhudia mashindano haya makubwa ya kombe la dunia yatakayo fanyika nchini Qatar, ni vyema kwa watakao hudhuria mubashara huko nchini qatar kujiepusha na yafuatayo:-
1. Jiepushe na matumizi ya pombe
2. Jiepushe na mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja
3. Jiepushe kutokuwa na haya (Immodesty)
4. Jiepushe na matumizi ya lugha chafu
5. Jiepushe na kutoheshimu sehemu za ibada
6. Jiepushe na upigaji wa miziki kwa sauti ya juu
7. Jiepushe na kutongozana (Dating)
8. Jiepushe na vitendo vya kupiga picha mtu,watu n.k bila ridhaa yao
Ukifanya hayo juu utajikuta kwenye wakti mgumu sana kwani ni kinyume na maadili ya watu wa Qatar