Kombe la Dunia 2022 Nchini Qatar: Ukifanya yafuatayo unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa

Kombe la Dunia 2022 Nchini Qatar: Ukifanya yafuatayo unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa

Sheria zimelegezwa Kwa wanywa pombe ..hizo sheria mainly Kwa wananchi wao...wageni hawatashitakiwa hata wakivunja hizo sheria
Huwajui hao vitukuu walivyo wa ajabu ukiwa kwao
 
Mpira burudani sio mambo ya hijja hayo. Next time FIFA wasiwape jamaa design hii ku-host World Cup tena. Bora hata wapeleke Eswatini/Swaziland watu wataburudika na vingi
wataburudika na vingi🤔
 
Hiyo namba 2 nawaunga mkono kwa zaidi ya asilimia 100. Wazungu wanataka kuufanya mchezo wa mpira kuputisha ajenda zao za kishetani waarabu wakaze hapo hapo wasilegeze
 
Hiyo namba 2 nawaunga mkono kwa zaidi ya asilimia 100. Wazungu wanataka kuufanya mchezo wa mpira kuputisha ajenda zao za kishetani waarabu wakaze hapo hapo wasilegeze
Sasa katibya Mzungunna Mwarabu Nani mpenda puru?
 
Kombe la Dunia linaenda kuwaonyesha jinsi Dunia inavyoenda hapo mpaka sumu wataachiwa hilo Kombe lina balaa lake ukishakubali kuliandaa na matakataka mengine inafatana nayo...
 
Uwe umeshikilia taasbii wakati wote...

Vazi kuu kanzu...
 
Back
Top Bottom