Muda utatoa jibu...Habari wakuu, hii michuano ya kombe la dunia hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali. Hawa Morocco wameotea tu ila kiama cha timu za Afrika chaja round 2.
Nipo Pape mwanaa asipulika!!!
Senegal anaweza akapata draw mkuu. Wale jamaa kwa kupambana tu hawajambo.Mimi sijawakatia tamaa Senegal. Ila mechi na Portugal waniache kwanza waanze kupambana round ya 2. Tuna jambo letu Portugal
Hivi Morocco unaichukuliaje kwa mfano! Unaposema wameotea una maanisha nini? Afcon alikua ameotea pia?Habari wakuu, hii michuano ya kombe la dunia hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali. Hawa Morocco wameotea tu ila kiama cha timu za Afrika chaja round 2.
Nipo Pape mwanaa asipulika!!!
Hawawezi kwakweli watuache tuSenegal anaweza akapata draw mkuu. Wale jamaa kwa kupambana tu hawajambo.
Sawa mkuu, kesho sio mbali. Tuombe uzima tu.Hawawezi kwakweli watuache tu
Tutashinda. Hatuwezi anza vibayaSawa mkuu, kesho sio mbali. Tuombe uzima tu.
Ukishasema hamna timu itaingia robo automatically hamna itakayoingia nusu kwasababu hamna namna unafika nusu bila kufuzu roboHabari wakuu, hii michuano ya kombe la dunia hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali. Hawa Morocco wameotea tu ila kiama cha timu za Afrika chaja round 2.
Nipo Pape mwanaa asipulika!!!
Chupu chupuHawa cape verde!!!!