Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Mataifa yako zaidi ya 150, kwa hiyo ukusanye vilabu zaidi ya 150? Hiyo itakuwa bonanza. Mbaya zaidi mataifa mengi yako hovyo kisoka na raha ya mashindano ni kuona ushindani na sio kuona Arsenal 20-Yanga 0.Dah aisee hawa wakuu wa falme ya giza hawataki tuache kubet kbs wakitoa formula hii wanatuwekea nyingine..ni vzr lakini kwa wapenzi wa soka ila kwanini iwe 32..si bora ingekuwa mabingwa wote wa mataifa yao wacheze
Nakuona wewe ndiye mfalme giza unajiendea tu na kubet kwako🤣Dah aisee hawa wakuu wa falme ya giza hawataki tuache kubet kbs wakitoa formula hii wanatuwekea nyingine..ni vzr lakini kwa wapenzi wa soka ila kwanini iwe 32..si bora ingekuwa mabingwa wote wa mataifa yao wacheze
Finalist wa Champions na finalist wa Caf alafu mmoja ni bingwa wa third runners wa izo tournament mbili 🤔Africa timu 5.. Napiga hesabu watachukuliwaje.. Mshindi wa champions league na confederation..
Bado wa3
Nahisi wanafanya maboresho kutoka kwenye mashindano ya awali, ambayo yalikuwa yanawahusisha vilabu ambavyo ni mabingwa wa mabara yao. Hivyo nahisi hata namna ya kupata wawakilishi inaweza ikabadilika kimfumo toka kwenye huu wa awali (champions league)Kwa hiyo UEFA champions league haitakuwepo Tena au [emoji848][emoji3][emoji91][emoji91][emoji91]