RayropeX
Member
- May 23, 2013
- 9
- 15
Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha Kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila nidhamu ya mchezo kwa vile tuliwafunga Ufaransa.
Nina imani kama tungeingia kwa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza huenda lolote lingeweza kutokea.
Warudi Sasa nyumbani maana tuliwakumbuka!