City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Serengeti girls wetu wamejitahidi mpaka hapo walipofikia .
Kundi lao walikuwa na Japan, France na Canada.
Japan wakawatuchapa, tukawachapa France, tukadraw na Canada ndo kufikia hii knock-out stage, a.k.a 16 bora tumetolewa na hao wadogo zake Zuniga alimtegua uti wa mgongo Neymar.
Kiufupi, kwa mazingira wanyotrain watoto wetu, wanastahili pongezi mpaka hapo walipofika.
Mpira wa bongo unabebwa na wavulana na wadi Hama wa under 17, wanawake na watu wenye ulemavu.
Wanaume ni upuuzi mtupu.