Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila discipline ya Mchezo kwa vile tuliwafunga Ufaransa.
Nina Imani kama tungeingia kwa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza huenda lolote lingeweza kutokea.
Warudi Sasa nyumbani maana tuliwamiss!

At least hao mabinti kuliko hizi mbilingeMchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila discipline ya Mchezo kwa vile tuliwafunga Ufaransa.
Nina Imani kama tungeingia kwa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza huenda lolote lingeweza kutokea.
Warudi Sasa nyumbani maana tuliwamiss!
🤣🤣🤣🤣 Watu wanataka kujibrand kupitia soka lakini wapi.Viongozi wa serikali walipoanza kuingia na kupongeza hii timu nikajisemea tu"tayari washaitia gundu hii timu hapo ndo mwisho"nakweli imetokea.
Waziri wenu wa katiba mlozi tuViongozi wa serikali walipoanza kuingia na kupongeza hii timu nikajisemea tu"tayari washaitia gundu hii timu hapo ndo mwisho"nakweli imetokea.
Wanasiasa wana mikosi sanaHizi timu huwa zikishaanza kupongezwa na wanasiasa tu!,kwisha habari