Tatizo letu africa hatuwi wakweli. Mashindano haya mara nyingi timu za africa tunadanganya sana umri. Ndio maana ukija kwenye senior teams tunafeli sana.Serengeti girls wetu wamejitahidi mpaka hapo walipofikia .
Kundi lao walikuwa na Japan, France na Canada.
Japan wakawatuchapa, tukawachapa France, tukadraw na Canada ndo kufikia hii knock-out stage, a.k.a 16 bora tumetolewa na hao wadogo zake Zuniga alimtegua uti wa mgongo Neymar.
Kiufupi, kwa mazingira wanyotrain watoto wetu, wanastahili pongezi mpaka hapo walipofika.
Mpira wa bongo unabebwa na wavulana na wadi Hama wa under 17, wanawake na watu wenye ulemavu.
Wanaume ni upuuzi mtupu.
The same to Mee nilivyo ona tu wanaanza kupewa promoo na kuonekana tishio nikasema hpa tayari imeshapoteza muelekeoViongozi wa serikali walipoanza kuingia na kupongeza hii timu nikajisemea tu"tayari washaitia gundu hii timu hapo ndo mwisho"nakweli imetokea.
Asee vile vidada kwa kweli havina nidhamu ya kimchezo.Mechi zote wamepata red card coach awafundishe nidhamu
Acha dharauhii hatua waliofika ni wa kupongezwa sana....hata rank yao ki dunia ipo pazuri sasa huu ujinga wa kudharau vya lwenu ikomesafi sana, kichwa cha mwenda-wazimu
Ukweli ni kwamba huku kwetu tunabebana bebana ikija kwenye maamuzi. Sasa ikifika international level watu wanaenda na sheria lazima tuumie tuuMechi zote wamepata red card coach awafundishe nidhamu
Uliangalia mpira lkn?wakiwa nusu wamegongesha bomba la mpinzani 2ΓWasingeweza kuifunga Colombia wamezidiwa. Warudi tu
Balari Shime na Edna Lema hawana uzoefu wa mashindano makubwa. Wana wachezaji wazuri sana lakini naona wamekosa benchi la ufundi lenye uzoefu wa mashindano.Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila discipline ya Mchezo kwa vile tuliwafunga Ufaransa.
Nina Imani kama tungeingia kwa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushtukiza huenda lolote lingeweza kutokea.
Warudi Sasa nyumbani maana tuliwamiss!
Uliangalia mpira lkn?wakiwa nusu wamegongesha bomba la mpinzani 2Γ
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Balari Shime na Edna Lema hawana uzoefu wa mashindano makubwa. Wana wachezaji wazuri sana lakini naona wamekosa benchi la ufundi lenye uzoefu wa mashindano.
Mabinti wanakosa kujiamini na kufanya makosa ya kizembe sana.
Kwenye mechi 4 walizocheza wamepata kadi nyekundu kwenye mechi 3 na kadi zote ni za mapema sana.
Wameweza kucheza dakika 60 za mwisho wakiwa 10 na hawakufugwa goli kwa dakika zote. Hii ina maana wana uwezo ila hawakujengewa msingi mzuri namna ya kuanza mpira kwa nidhamu huku wakimsoma mpinzani. Wao walitaka kuanza na kushinda tu.
Kuna demu amempiga kiwiko cha kifua hapo mchezaji wetu halafu akaenda kumsimamia sijui anamtukana kispanish. Nadhani aliona wachezaji wetu wanacheza rafu sana.
Tatizo letu africa hatuwi wakweli. Mashindano haya mara nyingi timu za africa tunadanganya sana umri. Ndio maana ukija kwenye senior teams tunafeli sana.
Hao marekani unaambiwa hawajawahi shinda world cup ya u17 lakini angalia wanavyotawala women senior football. Jana unawaangalia wale u17 wao unaona kabisa hawa ni watoto kabisa no doubt whatsoever. Wape wa
le miaka 4-6 utashangaa wao ndio wanakuwa olympic champions au world champions sie tutaanza ulizana mbona senior team ata afcon hatushiriki.
Mwezi uliopita u20 spain wanawake wameshinda kombe la dunia. Four years back wao ndio walikuwa u17 champions. So unaona wanakuwa na muendelezo kwa sababu hamna age cheating kama huku africa.
Vile vitoto niliviona jana hubishi kuwa hawa ni u17.Marekani mpira wa miguu ndio rede yao wanawake..
Kila mtoto wa kike lazima acheze mpira utotoni..
Under 17 wao wanakuwa under 17 kwelii sio sisi under 17 tunapeleka wadada above 20
Hapana. Wachezaji ni wazuri sana. Benchi la ufundi ndio halina uzoefu hata kidogo linabahatishaHawwna uwezo wamedanganya umri