Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

Kombe la dunia linafikia tamati jumapili, Mwarabu ameshindwa kujisafisha duniani

Wewe ndiye mjinga

Timu za ulaya ziende kuweka kambi kwenye nchi joto linasoma 40?

Unafikiri kwann kombe la dunia limefanyika December na sio July?

Hakuna timu ya ulaya za kwenda kuweka kambi kule buana lamda timu kutoka mali na sudani

Newcastle wameenda saud arabia wamekaa siku mbili wakakimbia hali ya hewa mbovu
We mjinga huna akili ,mzee wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine isiyo na Kazi ndio maana anatafuta udaku na uzushi.

Haya nimeweka ushahidi huo tena naweza kuweka mwengine tofauti zaidi huu kama 100 hivi kwa uchache.
IMG_20221217_101609.jpg

Nb: Muda na nguvu unazopoteza kuandika pumba hapa Jf tumia kujielimisha na kutafuta Kazi ya kufanya urudishe angalau nusu hasara aliyoipata Mzazi wako na kupambana wanao wasiwe wajinga kama wewe kubwa zembe..
 
We mjinga huna akili ,mzee wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine isiyo na Kazi ndio maana anatafuta udaku na uzushi.

Haya nimeweka ushahidi huo tena naweza kuweka mwengine tofauti zaidi huu kama 100 hivi kwa uchache.View attachment 2449638

Nb: Muda na nguvu unazopoteza kuandika pumba hapa Jf tumia kujielimisha na kutafuta Kazi ya kufanya urudishe angalau nusu hasara aliyoipata Mzazi wako na kupambana wanao wasiwe wajinga kama wewe kubwa zembe..
Sijui ka umeelewa ulicholeta
 
Ukiweka mtazamo unaousoma kwenye mitandao utaona mafanikio makubwa sana ya Qatar katika huu mpango wa kombe la dunia.

We kwako kurudisha pesa nyingi kuliko iliyowekezwa ndio mafanikio, mwarabu jicho lake liko mbaali sana hapo.
 
Mbali ya wapi mkuu kwasababu lengo ilikuwa kujisafisha duniani ila amezidi kuonekana kituko
Ukiweka mtazamo unaousoma kwenye mitandao utaona mafanikio makubwa sana ya Qatar katika huu mpango wa kombe la dunia.

We kwako kurudisha pesa nyingi kuliko iliyowekezwa ndio mafanikio, mwarabu jicho lake liko mbaali sana hapo.
 
Kutumia dola billon 200+ kuandaa kombe la dunia wakati kikawaida huwa haivuki dola billon 18
Ukiangalia jirani zake waarabu km yemen wanakufa kwa njaa

Ugaidi, wanafadhili ugaidi nchi nyingi duniani ili dini ikubalike mfn boko haram, palestine, iraq, somalia na sasa msumbiji

Ni serkali za kiimla hakuna kuchagua kiongozi,hakuna uhuru wa kuabudu km sio muislam huna chako uarabuni
Kwa mifano miwili tafadhali mwarabu anaonekana kituko katika mambo gani..
 
Kutumia dola billon 200+ kuandaa kombe la dunia wakati kikawaida huwa haivuki dola billon 18
Ukiangalia jirani zake waarabu km yemen wanakufa kwa njaa

Ugaidi, wanafadhili ugaidi nchi nyingi duniani ili dini ikubalike mfn boko haram, palestine, iraq, somalia na sasa msumbiji

Ni serkali za kiimla hakuna kuchagua kiongozi,hakuna uhuru wa kuabudu km sio muislam huna chako uarabuni
Nashukuru kwa mifano angalau umekuja ili ujipambanue.

Ila juu ya matumizi ya hizo pesa ni kwamba nchi zilizokuwa zimeandaa kwa gharama ya chini au ya kawaida ni kwamba baadhi walikuwa na miundombinu japo kwa uchache kwahiyo walipokuja kuandaa wakawa wanafanya maboresho.

Kwa Qatar yeye hakuwa na miundombinu ya soka kabisa kwahiyo hakuwa na namna kuanzia from the scratch, kitu ambacho uchumi wake unaruhusu.

Kuhusu kuitangaza dini mimi napinga mtizamo wa kutumia kombe la dunia kutangaza dini, uislamu sio chama cha upatu kwamba panapo mikusanyiko ya watu ndio uupigie debe.

Uislamu ni utamaduni, mwenendo na mfumo wa maisha unatosha kujitangaza wenyewe.

Ama kuhusu kudhamini makundi ya kigaidi duniani mambo ya kukueleza ni mengi maana hiyo bahari ni pana mkuu. Ila soma maandiko yako humuhumu hususan kwenye jukwaa la intelligence huenda yakakusaidia kutanua maarifa yako juu ya mwenendo wa dunia na propaganda zake.
 
Waarabu wanashikilia uchumi kwa kutumiwa na wana siasa wa Tanzania!

Waarabu hawana impact Tanzania wakileta fyongo wanaondoka wao wanaacha kila kitu tanzania kwasababu mali wameipata tanzania kwa njia za kitapeli,kutumika na wanasiasa nk

Ubalozini km unaenda kuomba visa CV yako ndio inakubeba

Waarabu ni jamii ya kipumbuvu kulko jamii yeyote duniani

Ndio maana wanakimbia kwao uarabuni kwenda nchi za magharibi hawataki kusoma wala kuishi uarabuni
Ndio akili hizo sasa maana hata Marekani limekuwa taifa kubwa duniani kwa njia za kupora mataifa mengine.
Kitendo cha kuja nchini kwako na kufanikiwa kuwateka viongozi wako ulioyo wachagua kinaonesha wana akili kukuzidi na ww ni zuzu.

Nchi pekee ambazo raia wana kimbia ni nchi zenye vita kwa kama wakongo na wasomalia wanavyo kimbia kwenye nchi zao kwa sababu ya vita.

Sema wewe una chuki zako dhidi ya waarabu labda walikurawiti utotoni kwa hiyo umeathirika kisaikolojia.
 
Weka chuki pembeni ili ueleze vizuri.
Malengo ya Qatar ambayo hayajatimia ni kujisafisha au kupiga pesa?

Watu hawaamin Kama uarabuni ni sehem salama kuishi wakat Zaid ya nusu ya watu Qatar , na UAE yote ni wageni?

Waarabu sio watu wa mpira kivip wakat Wana Benzema, Hakimi, Mo Salah n.k
Tanzania inaweza kuifunga timu gan ya taifa la kiarabu?

Hiv wamiliki wa PSG na Man City ni Wangoni?
Waarabu kama wanaujua mpira timu zao zingekuwa mbali kisoka kaka
 
Wewe utakuwa shoga,bwabwa,chicha mwiba, umefika katal umekuta marufuku ya kusokonyolewa sasa unawashwa 0 mihasira umekuja kuitolea huku🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe utakuwa shoga,bwabwa,chicha mwiba, umefika katal umekuta marufuku ya kusokonyolewa sasa unawashwa 0 mihasira umekuja kuitolea huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini hadithi za Mtume wenu zinaonesha alikuwa anawaingilia wake zake kinyume na maumbile , wewe unadhani ushoga ulianzia wapi hapo?

Muslims ni jamii ya watu ambao wanaishi kwa propaganda zinazoelemea dini ndiyo maana mnajificha kwenye cheap propaganda kuwateka wajinga wajiunge na uislamu.Kama unabisha niambie wapi uliwahi kuona mkutano wa mahubiri ya kiislamu yaani Quran itumike kama rejea ya masomo ya wazi mtu yeyote asikie na aamue kujiunga na uislamu.Matokeo yake tuna waislamu ambao hata aya moja ya Quran hawaijui wanaishi kwa kukariri maneno ya maimamu tu.

Uislamu haujawahi kuwa ustaarabu kama unabisha sema tufungue muslims books tuwaoneshe mlivyo kinagaubaga.

Huwa nawaambia waislamu kama wanajiamini wanapaswa kuchukua Quran wakahubiri kama wakristo tunavyofanya , tatizo na wao washaona kitabu chao hakihubiriki yaani huwezi kuhubiria watu kwa kutumia Quran wakakuelewa labda waislamu wenyewe tena msikitini.
 
Unaelewa hata lugha kweli we [emoji16]

January kuna timu inaweza kuweka kambi?

Tunaposema waarabu ni jamii ya kijinga zaidi duniani ndio km hivi kwasababu imeambukiza na baadhi ya watu
Acha kubadilisha upepo mimi jibu langu halikuhusiana na comment niliyokuQuote Moja kwa Moja bali imegeneralize kujibu mawazo yako potufu kuwa timu za Ulaya huwa haziweki kambi nchi za uarabuni bila kujali muda gani.
 
Waarabu wanajihusisha na ulawiti?

Ndio akili hizo sasa maana hata Marekani limekuwa taifa kubwa duniani kwa njia za kupora mataifa mengine.
Kitendo cha kuja nchini kwako na kufanikiwa kuwateka viongozi wako ulioyo wachagua kinaonesha wana akili kukuzidi na ww ni zuzu.

Nchi pekee ambazo raia wana kimbia ni nchi zenye vita kwa kama wakongo na wasomalia wanavyo kimbia kwenye nchi zao kwa sababu ya vita.

Sema wewe una chuki zako dhidi ya waarabu labda walikurawiti utotoni kwa hiyo umeathirika kisaikolojia.
 
Nimekuliza umeelewa hiyo comment yako au hiyo lugha hupatani nayo unaelewa ile tu ya kwenye kitabu chetu
Acha kubadilisha upepo mimi jibu langu halikuhusiana na comment niliyokuQuote Moja kwa Moja bali imegeneralize kujibu mawazo yako potufu kuwa timu za Ulaya huwa haziweki kambi nchi za uarabuni bila kujali muda gani.
 
Kwahiyo mpira ulikuwa hauchezwi uko uarabuni?
Nashukuru kwa mifano angalau umekuja ili ujipambanue.

Ila juu ya matumizi ya hizo pesa ni kwamba nchi zilizokuwa zimeandaa kwa gharama ya chini au ya kawaida ni kwamba baadhi walikuwa na miundombinu japo kwa uchache kwahiyo walipokuja kuandaa wakawa wanafanya maboresho.

Kwa Qatar yeye hakuwa na miundombinu ya soka kabisa kwahiyo hakuwa na namna kuanzia from the scratch, kitu ambacho uchumi wake unaruhusu.

Kuhusu kuitangaza dini mimi napinga mtizamo wa kutumia kombe la dunia kutangaza dini, uislamu sio chama cha upatu kwamba panapo mikusanyiko ya watu ndio uupigie debe.

Uislamu ni utamaduni, mwenendo na mfumo wa maisha unatosha kujitangaza wenyewe.

Ama kuhusu kudhamini makundi ya kigaidi duniani mambo ya kukueleza ni mengi maana hiyo bahari ni pana mkuu. Ila soma maandiko yako humuhumu hususan kwenye jukwaa la intelligence huenda yakakusaidia kutanua maarifa yako juu ya mwenendo wa dunia na propaganda zake.
 
Mbona unahuzuni dada mwarabu

Aya naomba ujibu
Kwanini mwarabu anadharaulika zaidi duniani?
Wewe utakuwa shoga,bwabwa,chicha mwiba, umefika katal umekuta marufuku ya kusokonyolewa sasa unawashwa 0 mihasira umekuja kuitolea huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waarabu wametumia dollar bilon 220 jiandae kombe la dunia hii haijawahi kutokea duniani

Ila upate picha halisi ni kuwa Brazil alitumia dola bilion 10 kuandaa kombe la dunia h2014

Russia alitumia dola bilion 13

Na wachumi wanasema mpaka kumalizika kombe la dunia katar wataingiza dola bilion 70 pungufu ya dola bilion 140

Katari ni mzalishaji mkubwa wa gesi na mafuta linaweza isiwe tatizo kwao kiuchumi

Lakini tukigeukia upande wa pili ni kuwa malengo ya waarabu kuandaa kombe la dunia hayajitimia hata robo

Watu bado wanaawaangalia waarabu km magaidi na watu wasiojitambua

Dunia bado inaiangalia mashariki ya kati km sehemu isiyo salama kuishi

Kauli ya mchezaji wa kiarabu ilienda kuharibu taswira yote ya mashindano hili jambo lilipelekea waarabu waendelee kuoneka ni wabuguzi, roho mbaya wasio na utu

Kunyanyaswa na kudhulumiwa wafanyakazi waliokuwa wanaajiriwa kujenga miondombinu ya viwanja,wengi wa watu hawa walikuwa wanatoka nchi za pekstan, india na kwingineko Wafanyakazi wengi walifariki wakiwa kazini ila walitelekezwa.

Baada ya kombe la dunia vile viwanja vitakuwa magofu kwasababu waarabu sio watu wa mpira tofauti na nchi za mpira baada ya mashindano ya kombe la dunia kuisha viwanja hukodishwa au kuuzwa kwa vilabu vikubwa km bayern munich kule ujerumani au urusi na brazil au kule afrika kusini

Itoshe kusema waarabu walikuwa wana pesa ila walikosa akili na mikakati na watu intelligence kwenye football

Tuwaombe Saud arabia wakipata nafasi siku zijazo wasirudie makosa haya
Qatar lengo Lao ni kijitangaza kibiashara na hilo wanakwenda kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sn kutokana na malengo waliye jiwekea hawakuanda world Cup kwa ajili ya kuonyesha wa sio magaidi wao wamefocus kwenye swala zima la kuifanya QATAR kuwa tourist destination kama ilivyo DUBAI.

Ukija kwenye swala la GHARAMA iliye tumika ni kweli ni kubwa kutokana na ujenzi wa miondo mbinu pamoja na ujenzi wa mji mpya kabisa LUSAIL CITY ambao utaweza ku accommodate zaidi ya watu laki mbili in future jua pia ni NCHI ndogo sn DUNIA yenye wakazi Jumla ya RAIA million 3+ ikiwa ina RAIA halisi wa NCHI kwa maana QATAR CITIZENS ni less than 15% ya population yao 85% yote ni Expatriates kutoka NCHI mbali mbali sasa ndugu yangu jifunze kuangalia fursa zaidi kuliko kuwa na CHUKI ambayo hawezi kukusaidia kitu chochote.
 
Waarabu hawataandaa kombe la dunia kwa miaka +30 ijayo
 
Waarabu hawataandaa kombe la dunia kwa miaka +30 ijayo
Ndugu yangu maisha ya sasa unahitaji kuwa open minded instead ya kuwa biased sababu dunia ya sasa inakwenda speed hasa ni ushauri na kupa.
 
Back
Top Bottom