adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
We mjinga huna akili ,mzee wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine isiyo na Kazi ndio maana anatafuta udaku na uzushi.Wewe ndiye mjinga
Timu za ulaya ziende kuweka kambi kwenye nchi joto linasoma 40?
Unafikiri kwann kombe la dunia limefanyika December na sio July?
Hakuna timu ya ulaya za kwenda kuweka kambi kule buana lamda timu kutoka mali na sudani
Newcastle wameenda saud arabia wamekaa siku mbili wakakimbia hali ya hewa mbovu
Haya nimeweka ushahidi huo tena naweza kuweka mwengine tofauti zaidi huu kama 100 hivi kwa uchache.
Nb: Muda na nguvu unazopoteza kuandika pumba hapa Jf tumia kujielimisha na kutafuta Kazi ya kufanya urudishe angalau nusu hasara aliyoipata Mzazi wako na kupambana wanao wasiwe wajinga kama wewe kubwa zembe..