mussa victor
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 116
- 163
wakuu naomba mnitoe matongotongo hivi lile kombe la dunia ndio lile lile miaka yote au huwa wanatengeneza baada ya miaka 04 maana jana nilimuona nahodha wa ujerumani mmoja ya washindi wa kombe la dunia 2014 akikabidhi kombe hilo kwa ufaransa hapa ndipo nilichanganyikiwa je kombe ndio hilo linazunguka mnakaa kaa nalo kwa muda baada ya 4 years mnaliachia? maana mbona sisi bongo mfano simba makombe yake yote yapo msimbazi. Please mnidadafulie