Kama aina ya mpira yenyewe ndio hii wanayocheza, hata wao watatufuata tu
Mimi ni shabiki wa simba ila siwaombei mabaya lkn hawa watani zangu km wanataka kuwa tofauti na sisi, basi hawana budi kuongeza bidii
Ni hayo tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.