Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kombe la Losers aka akina mama-Kaduguda.Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
HahahaKombe la Losers aka akina mama-Kaduguda.
Nanyie wa baba leo dakika 90 zinawahusu kumbukeni mnatatizo la kulenga hata kwenye mlango mkubwa, (matundu makubwa)Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Yanga ishapitaNanyie wa baba leo dakika 90 zinawahusu kumbukeni mnatatizo la kulenga hata kwenye mlango mkubwa
NdioMama huyu huyu au?
Je mnashabaha?Yanga ishapita
HuelewekiJe mnashabaha?
Mbumbumbu fc
Je mmefanya mazoezi ya kulenga shabaha?,(kulenga goli)Hueleweki
SijuiJe mmefanya mazoezi ya kulenga shabaha?
Mbumbumbu fc
Mbumbumbu fc wazee wa 5🤣🤣🤣🤣
Weeeeeeeeeeeeeee...!! Acha kulinga nisha Yanga na vitu vya hovyo hovyo..!! Watu gani nyie ndani ya dakika 90 na za nyongeza juu bado hamkuwa na shuti hata moja lililolenga goli..!!! Mbumbumbu kabisa..!! Ngada zinawaharibuNanyie wa baba leo dakika 90 zinawahusu kumbukeni mnatatizo la kulenga hata kwenye mlango mkubwa, (matundu makubwa)
Nyie nyie yaani mchezaji na goli-kipa halafu puuu!Weeeeeeeeeeeeeee...!! Acha kulinga nisha Yanga na vitu vya hovyo hovyo..!! Watu gani nyie ndani ya dakika 90 na za nyongeza juu bado hamkuwa na shuti hata moja lililolenga goli..!!! Mbumbumbu kabisa..!! Ngada zinawaharibu
Huku ni kuukubali mziki wa Yanga..!!!Haya ni marudio huko unakopita tulishapita hakuna jipya bwana chura.