juan de otaru
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 211
- 113
mkuu umeonekana safi Sana nawe ulikuwa eneo korofiMkuu Sembo migongo wazi wakitolewa kama miaka yote utawasikia ohh kombe la mbuzi. Wakishinda maandamano.
Mkuu tuko katika suala la Kimataifa ambalo Madeni FC mwenzako amejinasbu. Ndo maana nikamuliza mbona huko mkienda unaruka ruka tuuL
lol mkuu upo sahihi simba ya sasa Ni makumbusho fc,Hanna jipya
Nafanya kazi.Unafikiri mimi ni wewe mwenye "sponsor ".Mmkuu umeonekana safi Sana nawe ulikuwa eneo korofi
Vyura FC..mnafanya nini kimataifa zaidi ya aibu tuu, miaka yote kazi kuishia round za mwanzo hadi kero
Lakini mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni SSC michuano hiyo ameng'ata hadi nusu fainali na shirikisho (CAF) mpaka fainali.
siku simba ikishinda huwa unapewa ruhusa maalum kazini?hapa tunaongea soka Tu kama Ni kazi kila mtu Ana kazi yake.mkuu acha panikiNafanya kazi.Unafikiri mimi ni wewe mwenye "sponsor ".
Wanaoshinda kwa offsides wameonekana Leo. Bila goli la offside wasingeshinda.Bwihi.! Bwihi.! Ni heri kufunga goli chache lakini ni halali hakuna kulalamikiwa.. Maana ni aibu mno kuwa na mabao mengi ambayo ndani yake ni ya netball, offside
Ni tatizo sana Madeni FC
Mabingwa wa kihistoria wa Mapinduzi cup, aseee Simba sc tumefikia kujisifu kwa kombe ambalo hata cecafa hawalijui
Pia mkuu tuwekee na historia ya bigwa mara nyingi wa kombe la ligi kuu tanzania bara
Yanga 6-0 Jamhuri
Yanga, hii sasa sifa! Hakuna namna nyingine ya kuelezea.
Amejificha
Yani unashinda kwa goli mbili tena moja kwenye kombe la mapinduzi la mwaka 2017 kweli?
Mwambie Mamy!
Mikia FC ni sheeder...
FT: Simba 1-0 Wao.. Nasubiri maoni yenu.Kkakimbia thread yake kisa anamuogopa yanga
Hivi unawezaje kushangilia goli la offside dhidi ya katimu kamatopeni? Sorry nilisahau kama nanyie ni wamatopeni, samahanini sana.Simba 1-0 Wao
Mpaka sasa tuna pointi 6 na tupo kileleni kama kawaida yetu.. Ndala zina pointi ngapi?
NB; Tukutane nusu fainaili.
kwani kuna mtu kashangilia hapa?? alafu vipi kuhusu lile goli lenu la bafuni.. mlishangilia au mlikausha??Hivi unawezaje kushangilia goli la offside dhidi ya katimu kamatopeni? Sorry nilisahau kama nanyie ni wamatopeni, samahanini sana.
Hamna cha zaidi ya point tatuFT: Simba 1-0 Wao.. Nasubiri maoni yenu.
Mkuu nilishakuomba radhi ile ndiyo timu ya level yenukwani kuna mtu kashangilia hapa?? alafu vipi kuhusu lile goli lenu la bafuni.. mlishangilia au mlikausha??
Hivi unajua maana ya Offside trick..? au kwakuwa kazi yako uwanjani ni kuruka ruka tu kama ilivyo Vyura FC.Hivi unawezaje kushangilia goli la offside dhidi ya katimu kamatopeni? Sorry nilisahau kama nanyie ni wamatopeni, samahanini sana.
HaswaaTukutane nusu fainali
Nilikuwa nimesahau kama mlicheza na wamatopeni mwenzenu nisameheni plzHivi unajua maana ya Offside trick..? au kwakuwa kazi yako uwanjani ni kuruka ruka tu kama ilivyo Vyura FC.
Hahahaaa hiyo kali.Mkuu hivi huyu mchezaji wenu anatafuta nini huko?
Hajajibu suali langu... Nakubandika suali lingine hivi Msimbazi na Jangwani wapi kuna matope kiasi ambapo Vyura hupatikana ..?!Nilikuwa nimesahau kama mlicheza na wamatopeni mwenzenu nisameheni plz