Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

Kombe La Mapinduzi 2017: Historia, ratiba za bingwa wa kihistoria.

Vyura FC..mnafanya nini kimataifa zaidi ya aibu tuu, miaka yote kazi kuishia round za mwanzo hadi kero

Lakini mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni SSC michuano hiyo ameng'ata hadi nusu fainali na shirikisho (CAF) mpaka fainali.

Yaani mtaishia kunawa tuu na hizo mbio zenu sa sakafuni 'beche' linawenyewe
 
Bwihi.! Bwihi.! Ni heri kufunga goli chache lakini ni halali hakuna kulalamikiwa.. Maana ni aibu mno kuwa na mabao mengi ambayo ndani yake ni ya netball, offside

Ni tatizo sana Madeni FC
Wanaoshinda kwa offsides wameonekana Leo. Bila goli la offside wasingeshinda.
 
Kweli simba hakuna kitu, vijana wamepanda daraja msimu ukiopita na timu ina miaka miwili tu, na wakili kwamba wao mapinduzi cup kama bonanza lakini simba imeshindwa kuifunga na kuambulia goli moja la offside. .
 
Mabingwa wa kihistoria wa Mapinduzi cup, aseee Simba sc tumefikia kujisifu kwa kombe ambalo hata cecafa hawalijui

Pia mkuu tuwekee na historia ya bigwa mara nyingi wa kombe la ligi kuu tanzania bara

Yanga 6-0 Jamhuri

Yanga, hii sasa sifa! Hakuna namna nyingine ya kuelezea.

Amejificha

Yani unashinda kwa goli mbili tena moja kwenye kombe la mapinduzi la mwaka 2017 kweli?

Mwambie Mamy!

Mikia FC ni sheeder...

Kkakimbia thread yake kisa anamuogopa yanga
FT: Simba 1-0 Wao.. Nasubiri maoni yenu.
 
Simba 1-0 Wao

Mpaka sasa tuna pointi 6 na tupo kileleni kama kawaida yetu.. Ndala zina pointi ngapi?

NB; Tukutane nusu fainaili.
Hivi unawezaje kushangilia goli la offside dhidi ya katimu kamatopeni? Sorry nilisahau kama nanyie ni wamatopeni, samahanini sana.
 
Hivi unawezaje kushangilia goli la offside dhidi ya katimu kamatopeni? Sorry nilisahau kama nanyie ni wamatopeni, samahanini sana.
kwani kuna mtu kashangilia hapa?? alafu vipi kuhusu lile goli lenu la bafuni.. mlishangilia au mlikausha??
 
kwani kuna mtu kashangilia hapa?? alafu vipi kuhusu lile goli lenu la bafuni.. mlishangilia au mlikausha??
Mkuu nilishakuomba radhi ile ndiyo timu ya level yenu
 
Hivi unawezaje kushangilia goli la offside dhidi ya katimu kamatopeni? Sorry nilisahau kama nanyie ni wamatopeni, samahanini sana.
Hivi unajua maana ya Offside trick..? au kwakuwa kazi yako uwanjani ni kuruka ruka tu kama ilivyo Vyura FC.
 
Hivi unajua maana ya Offside trick..? au kwakuwa kazi yako uwanjani ni kuruka ruka tu kama ilivyo Vyura FC.
Nilikuwa nimesahau kama mlicheza na wamatopeni mwenzenu nisameheni plz
 
Mkuu hivi huyu mchezaji wenu anatafuta nini huko?

55e6e617216ff1ac97c17401041449ea.jpg
Hahahaaa hiyo kali.
 
Nilikuwa nimesahau kama mlicheza na wamatopeni mwenzenu nisameheni plz
Hajajibu suali langu... Nakubandika suali lingine hivi Msimbazi na Jangwani wapi kuna matope kiasi ambapo Vyura hupatikana ..?!
 
Back
Top Bottom