Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
49569723_592858987825512_8310734006631006208_n.jpg

Rotation ya kikosi cha Simba

Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia masta lecturer Triple C na wenzie wakichezea mpira.

Usiondoke

FT Simba 1 KMKM 0
 
View attachment 987697
Rotation ya kikosi cha Simba

Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia masta lecturer Triple C na wenzie wakichezea mpira.

Usiondoke
Dah kikosi kipana sana, Niyonzima angeanza tu mechi ya mwisho alicheza vizuri sana, leo tunapiga tu
 
Back
Top Bottom