Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Mwendo mdundo huo mpaka mwisho.

Halafu ukiuliza kikosi kipi nashangaa ujue Ses sababu huyo wa kikosi kipi anakuburuza sasa na hata pale utakapopasha moto viporo vyako vyote.
Viporo vyote vitaliwa hata kama kwa limao na havita chacha....baada ya hapo point tatu tunazichukua kutoka Yanga na zingine tatu Yanga watazidondosha kwa Azam, hahahaaa mambo mazuri hayataki haraka subiri uyaone
 
Back
Top Bottom