Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Upo sahihi kabisa ShadeeyaEwaaaa. Na wale wa madaftari wale Alliance. 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kabisa ShadeeyaEwaaaa. Na wale wa madaftari wale Alliance. 🤣🤣🤣
Wazee wa Yanga wanamaind sana Zahera ila watafanyaje sasa anawadai salary ya miezi 8😃😃 kwa hali tuliyonayo tunayapokea maneno yenu yote huku tunasonga mbele.
Una hakika lakini Sunzu sababu juzi kwenye Nyundo ya Baruan hakusema hiyo kitu. Au umejuaje?Wazee wa Yanga wanamaind sana Zahera ila watafanyaje sasa anawadai salary ya miezi 8
Hakuna siri kwenye taasisi. Angezungumza kwenye TV asingekuwa na tofauti na kina Kakolanya. BTW sina hakika ni tetesiUna hakika lakini Sunzu sababu juzi kwenye Nyundo ya Baruan hakusema hiyo kitu. Au umejuaje?
Hahahaa. Ya kawaida haya. Kwa hali tuliyonayo tunakubali kuisoma kila aina ya namba ikiwemo kila vimbwanga ikiwemo vya wachezaji.
Hivyo utuuzima umemsaidia kuwa msiri. 😀😀😀. Zinaweza kusemwa ni tetesi japo wanasemaga lisemwalo lipo Mkuu.Hakuna siri kwenye taasisi. Angezungumza kwenye TV asingekuwa na tofauti na kina Kakolanya. BTW sina hakika ni tetesi
Asante mkuu Shadeeya lakini fungua sanduku la maoni, mbona limefungwa mtani?
Hahahaaa. Sawa mtani nimekuelewa. 🙏🙏Asante mkuu Shadeeya lakini fungua sanduku la maoni, mbona limefungwa mtani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie kule sumbawanga mlikuwa mnatafuta mechi nini?Mmh. Sasa hiyo Match fitness ndio mnaitafuta kwa wale midebwedo Mkuu? Mbona kama sio kiwango sahihi?
Mmmhh aiseeeKila la kheri KMKM. Tuzidi kudumisha Muungano.
Mechi ni saa ngapi?Leo naona kuna mtu atapata kipigo cha mbwa koko
kila lakheri Mnyama mkali Simba sc
Ndo kwanza dakika ya 1