Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Shenzi hawa naona kama hakieleweki hukoMbona matokeo hamtupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shenzi hawa naona kama hakieleweki hukoMbona matokeo hamtupi?
Leo hao mende wameshikwa pabayaHivi wale mashujaa wapo pia huko mapinduzi..?
Hawapo mkuu vinginevyo tungeipenda wenyeweHivi wale mashujaa wapo pia huko mapinduzi..?
Dakika ya ngapi na ngapi ngapi! Na nyoni kafanyaje?Mikia wameweka kikosi cha kwanza na hadi ss hv jasho linawatoka kwa hv vitoto!
Mikia wanapatq goliDakika ya ngapi na ngapi ngapi! Na nyoni kafanyaje?
Nyie mikia si muweke matokeo hapa tatizo nn....?
Nawe simba kuwa timu toka lini... Hyo ni mikia tu kama mikia mingine..Hii timu ya Simba hamna kitu hapo.
Mngeingiza mikundu.Muone moto.Mmekimbia na chupi mkononi.Halafu unabaki kubana pua.Hii timu ya Simba hamna kitu hapo.
Nawe simba kuwa timu toka lini... Hyo ni mikia tu kama mikia mingine..
Wapaka, wambwa,wambuzi Yote ni mikia