Kombe la Mapinduzi: KMKM vs Simba SC, Januari 06, 2019 | Simba yashinda 1-0

Yamekua hayo tena!? Eti tuna bahati, hahahaaaaa. Yale mashambulizi tuliyofanya mwanzo mwisho hukuyaona Shadeeya ?

Ushasahau kua ulipinga na kama mkeka ushachanika 😀😀😀
Ndiooo. Sababu kwa tambo za kikosi chenu na kile kijiushindi naiona ni bahati tu ile. 😀😀😀
 
Hebu nikuulize swali dogo tu. Jana pale nani alikua mwenye bahati, Simba walioshambulia na kutawala mchezo wote huku wakocheza wanavyotaka au hao KMKM wenu walionusurika na kipigo cha mbwa koko?
 
Hahahaaaa. Hivi kipigo cha mbwa koko ni kuanzia ngapi sababu mpaka pale hata kukikaribia hamjakikaribia. 😜😜

Halafu mbona kosa kosa zenyewe zilikuwa za kuhesabika sasa?
 
Zungumzia kuliwa kiboga na Azam.Sisi tumeshafuzu semifainali bila hata kucheza mechi ya tarehe 8.
Wewe weweseka na hali yako. Vipi michango?
Desemba yote elfu 70000?
Wavuta bangi wenzako wameshapatana?
siwezi kuongea na bi hindu maana wewe kwa matusi mtaa wa dosi wote wanakuogopa
 
Hahahaaaa. Hivi kipigo cha mbwa koko ni kuanzia ngapi sababu mpaka pale hata kukikaribia hamjakikaribia. 😜😜

Halafu mbona kosa kosa zenyewe zilikuwa za kuhesabika sasa?
Lakini sishangai ujue Shadeeya maana nakumbuka hata kocha wenu Mwinyi Zahera aliwahi kukiri hadharani kua ukitoka sare na Simba huo ni ushindi mkubwa sana kwenu

Kwa maana hiyo basi tufanye KMKM jana waliibuka na ushindi wa kupoteza bao moja bila😀😀😀
 
siwezi kuongea na bi hindu maana wewe kwa matusi mtaa wa dosi wote wanakuogopa
Matusi anayo bi mkubwa wako ndio maana ukazaliwa.
Mtumwa wahedi. Umeacha kupiga magoti?
 
Nilijuwa Chuma binti Mohamed AKA Bi Hindu Mama Hamisa Chuma Kibibi cha Matusi mtaa wa dosi utaongea tu. Bado ujaacha kutembea na wachezaji japo kikongwe
 
Ndugu zetu Mbumbumbu hawa Wazanzibar sio wakuwaendekeza. Mnajua kabisa mna game muhimu hivi karibuni halafu mnapeleka first eleven yote. Au hadi aumie Chama ndio akili ziwakae vizuri?
 
Nilijuwa Chuma binti Mohamed AKA Bi Hindu Mama Hamisa Chuma Kibibi cha Matusi mtaa wa dosi utaongea tu. Bado ujaacha kutembea na wachezaji japo kikongwe
Wewe senge kama jina lako.Wanakugombea wengi. Niletee mama yako ndio ana marinda. Wewe wameshayalegeza.
 
🤣🤣🤣. Nimebaki najiuliza Mkuu kwani utani wa Jadi hauendi pasi matusi?
Bibie mbona hutukanwi wewe. Kwa sababu wewe mstaarabu. Hao mapopoma hawajui ustaarabu watwana tu hawaendi shuruti matusi na mijeledi.
Wakija kistaarabu watajibiwa wakitukana
watatukaniwa.
 
Hahahaaaa. Hivi kipigo cha mbwa koko ni kuanzia ngapi sababu mpaka pale hata kukikaribia hamjakikaribia. 😜😜

Halafu mbona kosa kosa zenyewe zilikuwa za kuhesabika sasa?
Kinaanzia tatu.
Azam 3 - 0 Yanga.
 
Back
Top Bottom