redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Ile nafasi ya kolibaly bora angecheza manara. Kapombe anahitajika mapema sana. Alafu timu inacheza taratibu sana.Nawe simba kuwa timu toka lini... Hyo ni mikia tu kama mikia mingine..
Wapaka, wambwa,wambuzi Yote ni mikia
Sent using Jamii Forums mobile app