Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 831
Swali fikirishi: Juzi mikia fc walitokaje?Kila la kheri KMKM. Tuzidi kudumisha Muungano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali fikirishi: Juzi mikia fc walitokaje?Kila la kheri KMKM. Tuzidi kudumisha Muungano.
Endelea kungojea tu huenda.Sawa, tuombeane uzima tu.
Maana najua muda si muda mtatupisha kwenye namba yetu.
Yaani una smartphone halafu hujui matokeo yalikuwaje. Bando unalo google Mkuu.
Mdau upo? Kweli unaamini hamtakuja kufungwa!? Kwa kikosi kipi?Ndio 😎😎😎
Mwendo mdundo huo mpaka mwisho.Mdau upo? Kweli unaamini hamtakuja kufungwa!? Kwa kikosi kipi?
Usijikatie tu umeme pls, angalia hiyo game mwanzo mwisho, na baada ya mechi usikimbie basi eeh ShadeeyaKila la kheri KMKM. Tuzidi kudumisha Muungano.
Viporo vyote vitaliwa hata kama kwa limao na havita chacha....baada ya hapo point tatu tunazichukua kutoka Yanga na zingine tatu Yanga watazidondosha kwa Azam, hahahaaa mambo mazuri hayataki haraka subiri uyaoneMwendo mdundo huo mpaka mwisho.
Halafu ukiuliza kikosi kipi nashangaa ujue Ses sababu huyo wa kikosi kipi anakuburuza sasa na hata pale utakapopasha moto viporo vyako vyote.
Sawa tuombe uzima Insha AllahViporo vyote vitaliwa hata kama kwa limao na havita chacha....baada ya hapo point tatu tunazichukua kutoka Yanga na zingine tatu Yanga watazidondosha kwa Azam, hahahaaa mambo mazuri hayataki haraka subiri uyaone
InshaallahSawa tuombe uzima Insha Allah
Jitayarishe hiyo asubuhi utakapokuja uje na pongezi zetu kabisaaNimenuia kuiangalia mpaka mwisho. Asubuhi ntakuja.
😃😃😃😃 Ahsanteee.Full Kikosi..Kikosi cha Watoto Pelekeni huko Gongowazi[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani. 😎😎Jitayarishe hiyo asubuhi utakapokuja uje na pongezi zetu kabisaa
Wewe ndo huelewiYaani hadi game hizi wanacheza kina Chama!
Huyu kocha hajiamini kabisa, nini maana ya rotation sasa.
Mkuu Shadeeya hatuna haja na Ten, hiyo kwa Simba ni mshahara wa mchezaji kama MK[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Ahsanteee.
M.10 Teh teh
Nadhani tulishapinga mahali flani, basi wala tusipinge tena, kauli yangu ni ileile tusiandikie mate na wino upoSidhani. 😎😎
Umefafanua vizuri sana mkuuMkuu Shadeeya hatuna haja na Ten, hiyo kwa Simba ni mshahara wa mchezaji kama MK
Kocha anachofanya kwa wachezaji ni Match Fitness kuelekea Ligi ya Mabingwa dhidi ya JS Saoura
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh. Sasa hiyo Match fitness ndio mnaitafuta kwa wale midebwedo Mkuu? Mbona kama sio kiwango sahihi?Mkuu Shadeeya hatuna haja na Ten, hiyo kwa Simba ni mshahara wa mchezaji kama MK
Kocha anachofanya kwa wachezaji ni Match Fitness kuelekea Ligi ya Mabingwa dhidi ya JS Saoura
Sent using Jamii Forums mobile app