OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Dah kikosi kipana sana, Niyonzima angeanza tu mechi ya mwisho alicheza vizuri sana, leo tunapiga tuView attachment 987697
Rotation ya kikosi cha Simba
Usiku wa leo wazanzibar na dunia nzima itakuwa uwanjani na kideoni wakitalii. Sio utalii wa Serengeti bali ni utalii kushuhudia soka safi la mnyama Simba,kushudia masta lecturer Triple C na wenzie wakichezea mpira.
Usiondoke
napendekeza Okwi na Chama wacheze dk 30 tu,Dilunga na Niyo watupiwe ndaniDah kikosi kipana sana, Niyonzima angeanza tu mechi ya mwisho alicheza vizuri sana, leo tunapiga tu
Hivi siku Yanga ikifungwa TPL ..mikia si mtakufa kama kawaida yenu
Ndo waliofungwa 3 jana na azam???
Anarekebisha makosa ya MashujaaYaani hadi game hizi wanacheza kina Chama!
Huyu kocha hajiamini kabisa, nini maana ya rotation sasa.
Hivi siku Yanga ikifungwa TPL ..mikia si mtakufa kama kawaida yenu
napendekeza Okwi na Chama wacheze dk 30 tu,Dilunga na Niyo watupiwe ndani
Ha ha ha! Nakuhakikishia tungejitoa wanachotufanyaga sio kitu poa! Tungeishia kusema kufa au kuponaZFA wangewaalika pia Green Warriors na Mashujaa ya Kigoma kushiriki kombe hili la Mapinduzi 2019. Tungeona mechi nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππHivi siku Yanga ikifungwa TPL ..mikia si mtakufa kama kawaida yenu
Ndio πππUnadhani hawatakaa wafungwe?
Anawajua jinsi mashabiki zao mlivyo hasa pale mnavyomashuujaliwa. ππYaani hadi game hizi wanacheza kina Chama!
Huyu kocha hajiamini kabisa, nini maana ya rotation sasa.
Ndio πππ