Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao singida walishindwa vp kuongeza la pili?Dakika zinaongezwa mpaka wasawazishe...
Km utopolo ilivyofungwa 3 kwa 0 na belouzdad, huku kwa league wakijifanya untouchable, Arajiga woyeeee.Next time mashindano yatakosa mvuto kwa upuuzi ambao vyama vya mpira wanaendekeza simba kawa nani yeye bila kubebwa hana maajabu tunaona hata ligi kuu simba anatafutiwa matokeo na wamuzi na ndio maana wakikutana na timu yenye uwezo wa kuepuka makosa ya uwanjani simba huwa inafugwa
Na kwa mtindo huu simba kufugwa gori tano inaweza jirudia kabisa
Singida ni underdog kwa Simba akipata matokeo anategemea kuzuia tu sio kuweza kufunga tena...Kwani hao singida walishindwa vp kuongeza la pili?
SureSingida ni underdog kwa Simba akipata matokeo anategemea kuzuia tu sio kuweza kufunga tena...
Halafu wanataka kurejesha ligi ya muungano, najiuliza sababu zilizopelekea isiwepo sasa zimesombwa na mafuriko?Kama unadhani kombe la Mapinduzi ni rahisi, basi waulize APR na Singida.
Kombe linaitwa Mapinduzi, maana yake muda wowote utarajie Mapinduzi. Mashindano ya kombe hili ni magumu sana.
Lawama ziko kwa goli la Simba siyo muda. Cross iliyopigwa na Ntibazonkiza iliupeleka mpira moja kwa moja nje ya uwanja, golikipa wa Singida kaudakia nje. Ilipswa kuwa goal kick, lkn kaamuru ipigwe kona iliyozaa golikuna mdau kauliza hapo Singida wangeongeza goli la pili nyinyi vyura mngelalamikia dakika zilizoongezwa?
Tukubaliane ni makosa ya kibinadamu kwa marefarii.msimu uliopita Yanga walipewa penati kwa faulo uliyotokea nje ya boksi CCM Kirumba.Lawama ziko kwa goli la Simba siyo muda. Cross iliyopigwa na Ntibazonkiza iliupeleka mpira moja kwa moja nje ya uwanja, golikipa wa Singida kaudakia nje. Ilipswa kuwa goal kick, lkn kaamuru ipigwe kona iliyozaa goli
Mimi nilidhani refa alitoa penati kumbe Kona!!!sasa hao Singida walishindwa nini wote kujaa golini kuzuia Kona isiwe goli??na kama Kross ilikuwa imetoka nje ilikuaje kipa akaudaka harakaharaka na kurudi nao ndani?si angeuacha utoke nje ili muda upotee kabisa!!tumia akili za kichwani na sio za makalioniLawama ziko kwa goli la Simba siyo muda. Cross iliyopigwa na Ntibazonkiza iliupeleka mpira moja kwa moja nje ya uwanja, golikipa wa Singida kaudakia nje. Ilipswa kuwa goal kick, lkn kaamuru ipigwe kona iliyozaa goli
Singida ni timu ya pili baada ya APR kuapa kutoshiriki tena haya mapumbuzi (siyo Mapinduzi). Mtashiriki wenyeweMimi nilidhani refa alitoa penati kumbe Kona!!!sasa hao Singida walishindwa nini wote kujaa golini kuzuia Kona isiwe goli??na kama Kross ilikuwa imetoka nje ilikuaje kipa akaudaka harakaharaka na kurudi nao ndani?si angeuacha utoke nje ili muda upotee kabisa!!tumia akili za kichwani na sio za makalioni