Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa Singida.

Sitaki kuzungumzia kuhusu dakika kupitiliza, ila ni namna refa alivyokuwa anafosi kupatikana kwa goli kabla ya kupuliza filimbi ya mwisho.

Kulikuwa na faulo na kona za uongo na maamuzi yake yalikuwa tofauti na mshika kibendera.

Hili ni kama lilifosiwa kuwa lazima Simba icheze fainali na lazima timu kutoka nje ya Tanzania isicheze fainali.

Vipesa vyenyewe vidogo, timu zinakuja kucheza tu kwa moyo wao lakini mnakuja kuwaonea kwa maamuzi ya ovyo.
 
Sikujua kama kuna timu za mpira zinazojielewa bado zinalichukulia hili bonanza la mapinduzi serious kiasi hiki.

Nawapongeza Yanga sc kwa kulifanya sehemu ya mazoezi na kutest uwezo wa wachezaji wa kikosi B&C.
 
Hakuna kombe pale n upuuz mtupu na sielew kwann viongoz wanakaa kmya na wakat n mashndano ambayo yanaandaliw n serkal
 
Baada ya Utopolo kuchezea 3-1 kama za Belozdad ndiyo unasema yafutwe?😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…