vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa Singida.
Sitaki kuzungumzia kuhusu dakika kupitiliza, ila ni namna refa alivyokuwa anafosi kupatikana kwa goli kabla ya kupuliza filimbi ya mwisho.
Kulikuwa na faulo na kona za uongo na maamuzi yake yalikuwa tofauti na mshika kibendera.
Hili ni kama lilifosiwa kuwa lazima Simba icheze fainali na lazima timu kutoka nje ya Tanzania isicheze fainali.
Vipesa vyenyewe vidogo, timu zinakuja kucheza tu kwa moyo wao lakini mnakuja kuwaonea kwa maamuzi ya ovyo.