Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

Kumbe kakombe ka mapinduzi kana umae!
 
Vipi kuhusu mechi ya Geita Gold (H), Azam (H & A), Namungo (H) VS Yanga za msimu wa 2022-2023 zilivyochezeshwa kwa maelekezo maalam mpaka kupelekea baadhi ya wachezeshaji wake kufungiwa... Je mechi hizi zimeifanya NBC PL KUPOTEZA HADHI NA SIFA?
 
Tuliamua kuwatumia vijana kwenye hayo mashindano.
Hatukuyatilia mkazo na kuamua kuwajaribu vijana wadogo.
Vijana akina
Mauya
Kibwana
Romalisa
Mzimze
Kibabage
Moroko
Skudu
Msheri
Shekan
Nk.
 
Bado hamjasema uto, hadi mnatia huruma ase kwa maumivu mnayopitia
 
Kwenye ukweli ushabiki ukae pembeni.. kwa hali hii kila siku nasema mpira wetu bado sana ni ubabaishaji
Ukweli upi huo, kama ukweli kusema ulitakiwa uanze kulaumu tokea mwanzo wa mashindano haya kuanza, kuna makosa mengi yamefanyika huko nyuma lakini hukulialia humu, umekuja kuanza kulialia baada ya Simba kumtoa uto wa mkoani, maamuzi mabaya yamefanyika kwa game nyingi, kuna uto vs Jamus, Azam vs singida, mlandege vs apr, uto vs apr, mbona hukulialia hivi
 
Mbona zile penati 2 za wazi na faulu nyingi walizozulumiwa Simba atusemi?embu tijaribu kufanya agenda iwe fair tuache ushabiki kama tunayafuta haki.
Hawawezi kuongelea hilo, hawa uto walitaka Simba atoke ndio maana wanatafuta kichaka cha kujificha
 
Tuliamua kuwatumia vijana kwenye hayo mashindano.
Hatukuyatilia mkazo na kuamua kuwajaribu vijana wadogo.
Vijana akina
Mauya
Kibwana
Romalisa
Mzimze
Kibabage
Moroko
Skudu
Msheri
Shekan
Nk.
Sasa kwanini mnalialia humu? Sisi tuliwambia muwapange hawa wasuka ukiri? Maana threads nyingi ni za uto mkilialia tu
 
Kikundi cha Malalamiko na Lawama (KIMALA) Mmeamkaje huko, Sisi huku bado tunashangilia kutinga fainali

Mkimaliza kulalamikia jambo lisilowahusu nendeni mkawapokee wenzenu wanarudi leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KIMALA
 
Mwakani itakuwa shida sana kupata team bora...kwa tanzania sawa watalazimishwa kwenda......hakuna ujanja....wataenda ila nchi africa mashariki......kati wengi hawatakuja
 
Ndio toka mwanzo kwani ulidhani wapi
 
Hayo ni mshindano ya CCM,bingwa anapanga na CCM
kuwaonea kwa maamuzi ya ovy
 
Utopolo wakitolewa kwenye mashimdano wanaanza kuyaponda. Sa nyie wakatimnaenda kushindana si mlisema mnataka mbebe:
Mfungaji bora
Kipa bora
Ubingwa
Beki bora
Sa mmekosa vyote mnaweweseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…