KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Utajua mwenyewe nachojua juzi juzi umekandwa 5.Wewe hujawahi kukandwa 6,5,4 na simba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua mwenyewe nachojua juzi juzi umekandwa 5.Wewe hujawahi kukandwa 6,5,4 na simba?
Kumbe kakombe ka mapinduzi kana umae!Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa Singida.
Sitaki kuzungumzia kuhusu dakika kupitiliza, ila ni namna refa alivyokuwa anafosi kupatikana kwa goli kabla ya kupuliza filimbi ya mwisho.
Kulikuwa na faulo na kona za uongo na maamuzi yake yalikuwa tofauti na mshika kibendera.
Hili ni kama lilifosiwa kuwa lazima Simba icheze fainali na lazima timu kutoka nje ya Tanzania isicheze fainali.
Vipesa vyenyewe vidogo, timu zinakuja kucheza tu kwa moyo wao lakini mnakuja kuwaonea kwa maamuzi ya ovyo.
Vipi kuhusu mechi ya Geita Gold (H), Azam (H & A), Namungo (H) VS Yanga za msimu wa 2022-2023 zilivyochezeshwa kwa maelekezo maalam mpaka kupelekea baadhi ya wachezeshaji wake kufungiwa... Je mechi hizi zimeifanya NBC PL KUPOTEZA HADHI NA SIFA?Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa Singida.
Sitaki kuzungumzia kuhusu dakika kupitiliza, ila ni namna refa alivyokuwa anafosi kupatikana kwa goli kabla ya kupuliza filimbi ya mwisho.
Kulikuwa na faulo na kona za uongo na maamuzi yake yalikuwa tofauti na mshika kibendera.
Hili ni kama lilifosiwa kuwa lazima Simba icheze fainali na lazima timu kutoka nje ya Tanzania isicheze fainali.
Vipesa vyenyewe vidogo, timu zinakuja kucheza tu kwa moyo wao lakini mnakuja kuwaonea kwa maamuzi ya ovyo.
Ukweli upi huo, kama ukweli kusema ulitakiwa uanze kulaumu tokea mwanzo wa mashindano haya kuanza, kuna makosa mengi yamefanyika huko nyuma lakini hukulialia humu, umekuja kuanza kulialia baada ya Simba kumtoa uto wa mkoani, maamuzi mabaya yamefanyika kwa game nyingi, kuna uto vs Jamus, Azam vs singida, mlandege vs apr, uto vs apr, mbona hukulialia hiviKwenye ukweli ushabiki ukae pembeni.. kwa hali hii kila siku nasema mpira wetu bado sana ni ubabaishaji
Basi acheni kulialia humu na kutaka huruma yetuKuwatandika 1-5
Uto katika ubora"MPIRA WETU KIVYETUKIVYETU" Azam waliona mbali.
Hawawezi kuongelea hilo, hawa uto walitaka Simba atoke ndio maana wanatafuta kichaka cha kujifichaMbona zile penati 2 za wazi na faulu nyingi walizozulumiwa Simba atusemi?embu tijaribu kufanya agenda iwe fair tuache ushabiki kama tunayafuta haki.
Sasa kwanini mnalialia humu? Sisi tuliwambia muwapange hawa wasuka ukiri? Maana threads nyingi ni za uto mkilialia tuTuliamua kuwatumia vijana kwenye hayo mashindano.
Hatukuyatilia mkazo na kuamua kuwajaribu vijana wadogo.
Vijana akina
Mauya
Kibwana
Romalisa
Mzimze
Kibabage
Moroko
Skudu
Msheri
Shekan
Nk.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mlifungwa. Hakunaga kuona mbali kwenye soka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KIMALAKikundi cha Malalamiko na Lawama (KIMALA) Mmeamkaje huko, Sisi huku bado tunashangilia kutinga fainali
Mkimaliza kulalamikia jambo lisilowahusu nendeni mkawapokee wenzenu wanarudi leo
Sema babu zako siyo ww.Kwako jambo geni
Sisi tumezoea kukukanda 6,5,4,3,2
Ndio toka mwanzo kwani ulidhani wapiUkweli upi huo, kama ukweli kusema ulitakiwa uanze kulaumu tokea mwanzo wa mashindano haya kuanza, kuna makosa mengi yamefanyika huko nyuma lakini hukulialia humu, umekuja kuanza kulialia baada ya Simba kumtoa uto wa mkoani, maamuzi mabaya yamefanyika kwa game nyingi, kuna uto vs Jamus, Azam vs singida, mlandege vs apr, uto vs apr, mbona hukulialia hivi
Hayo ni mshindano ya CCM,bingwa anapanga na CCMHaya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa Singida.
Sitaki kuzungumzia kuhusu dakika kupitiliza, ila ni namna refa alivyokuwa anafosi kupatikana kwa goli kabla ya kupuliza filimbi ya mwisho.
Kulikuwa na faulo na kona za uongo na maamuzi yake yalikuwa tofauti na mshika kibendera.
Hili ni kama lilifosiwa kuwa lazima Simba icheze fainali na lazima timu kutoka nje ya Tanzania isicheze fainali.
Vipesa vyenyewe vidogo, timu zinakuja kucheza tu kwa moyo wao lakini mnakuja
kuwaonea kwa maamuzi ya ovy