Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

Sikujua kama kuna timu za mpira zinazojielewa bado zinalichukulia hili bonanza la mapinduzi serious kiasi hiki.

Nawapongeza Yanga sc kwa kulifanya sehemu ya mazoezi na kutest uwezo wa wachezaji wa kikosi B&C.
watu mnasiri, kumbe kuna yanga B&C na hamsemi?!😳
Na huko club bingwa mnachezesha Yanga ipi? Maana kule hata robo hamgusi🙂
 
Mnashangaa mambo haya Zanzibar? Kama wanaweza kufuta uchaguzi na kumnyima ushindi Maalim Serif ndio sembuse haya Mabonaza?

Inaonekana wengi hamuijui vizuri Zanzibar, huyo Hussein Mwinyi tu wala hakustahili kuwa hata mgombea wa CCM hiyo nafasi ilikuwa ya Shamshi Vuai Nahodha.
 
Acheni kwanza sisi Simba Sc tubebe kombe letu halafu kama kulifuta ndio mlifute sasa
 
Maonezi waliyofanyiwa singida inatosha sana
 
Shida ni tawi lenu kuondolewa, yaani we ulitegemea tawi libaki wakati shina lilisha ondolewa na wanyarwanda?
 
Sikujua kama kuna timu za mpira zinazojielewa bado zinalichukulia hili bonanza la mapinduzi serious kiasi hiki.

Nawapongeza Yanga sc kwa kulifanya sehemu ya mazoezi na kutest uwezo wa wachezaji wa kikosi B&C.
Mimi ni Makolokolo kindakindaki nasema sisi bila mbeleko ni wepesi kuliko hata wepesi wenyewe.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kikundi cha Malalamiko na Lawama (KIMALA) Mmeamkaje huko, Sisi huku bado tunashangilia kutinga fainali

Mkimaliza kulalamikia jambo lisilowahusu nendeni mkawapokee wenzenu wanarudi leo
 
Back
Top Bottom