University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Wamekimbia aibuSijafurahi kabisa,nilitamani tuwapige nusu fainali
Sijafurahi kabisa,nilitamani tuwapige nusu fainali
Safi acha tuendelee kupumzika maana mlitulazimisha kupeleka timu zenji,ila vijana wetu wa Yanga B wamepata exposureHey Members!!
Katika kombe la Mapinduzi Zanzibar,
Leo ilikua zinacheza timu kati ya YANGA SC na MALINDI katika uwanja wa Aman Nchini Zanzibar.
Mpira umeisha dakika 90.
YANGA 1 na MALINDI 2.
Na YANGA wameaga mashindano hayo.
Haji mwiny kaseke na wengine ni vijana eti eeeSafi acha tuendelee kupumzika maana mlitulazimisha kupeleka timu zenji,ila vijana wetu wa Yanga B wamepata exposure
Umewashindwa hawa, ungewaweza Yanga BSijafurahi kabisa,nilitamani tuwapige nusu fainali
Tena chekechea kabisa