Kombe la Mapinduzi Zanzibar:FullTime:Yanga SC 1 na Malindi 2,Yanga Out!!

Kombe la Mapinduzi Zanzibar:FullTime:Yanga SC 1 na Malindi 2,Yanga Out!!

Hey Members!!
Katika kombe la Mapinduzi Zanzibar,
Leo ilikua zinacheza timu kati ya YANGA SC na MALINDI katika uwanja wa Aman Nchini Zanzibar.
Mpira umeisha dakika 90.
YANGA 1 na MALINDI 2.
Na YANGA wameaga mashindano hayo.
Safi acha tuendelee kupumzika maana mlitulazimisha kupeleka timu zenji,ila vijana wetu wa Yanga B wamepata exposure
 
Sijafurahi kabisa,nilitamani tuwapige nusu fainali
Umewashindwa hawa, ungewaweza Yanga B
FB_IMG_1545872013220.jpg
 
Walichelewa kuitoa kwenye hilo kombe la mapinduzi, uyo Zahera kila cku yupo kwenye Media na kiswahili cha kuokoteza, jinga kbsa vyura fc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga wana akili sana...angalia kundi la Yanga limepangwa kimkakati..kwanza timu 5.. pili timu nzuri zaidi...hatupendagi jokes...tukutane May tunanyanyua kwapa Mara ya 28....
 
Back
Top Bottom