Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Huwezi kuwabakiza, si unajua vyura wanavyoteleza.Sijafurahi kabisa,nilitamani tuwapige nusu fainali
Hesabu za Yanga ni kua heri wajitoe huku kwenye makundi kuliko kwenda kukutana na Mnyama huko mbeleni na kuvurumishiwa kipigo cha Mbwa Mwizi.Naomba kujua
Kushiriki timu.inalipwa.kiasi gani?
Na.mshindi analipwa kiasi gani?
Naona kama.yanga wamepiga mahesabu kuendelea ni gharama zaidi na hakuna faida?
Sent using Jamii Forums mobile app
Zahera asipomtaja chama kwenye mazungumzo yake nidai buku kumi. Anamuumiza sana kichwa.Walichelewa kuitoa kwenye hilo kombe la mapinduzi, uyo Zahera kila cku yupo kwenye Media na kiswahili cha kuokoteza, jinga kbsa vyura fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inashida hata buku kwao mtajiNaomba kujua
Kushiriki timu.inalipwa.kiasi gani?
Na.mshindi analipwa kiasi gani?
Naona kama.yanga wamepiga mahesabu kuendelea ni gharama zaidi na hakuna faida?
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli aiseee.....Safi acha tuendelee kupumzika maana mlitulazimisha kupeleka timu zenji,ila vijana wetu wa Yanga B wamepata exposure
🤣🤣🤣 mna maneno ila. DuuhUnadhani wao hawana akili? Wamejitoa kijanja hapo.
🤣🤣🤣 mna maneno ila. Duuh
Hahahaaa. Ila si nasikia mmepeleka kikosi kama cha kwetu Zanzibar unadhani ingekuwaje hiyo mechi? Bora tumetoka.Si ndiyo lakini, mmeona mjitoe kijanja kumkwepa Mnyama.
Hahahaaa. Ila si nasikia mmepeleka kikosi kama cha kwetu Zanzibar unadhani ingekuwaje hiyo mechi? Bora tumetoka.
Hahaaa. Sio njama bana. Niwe mkweli hata mi niliumia aiseee kwa kuumia kwa Erasto nyoni. Ila sijui Ndio soka la Kizanzibar lile yaani wanatumia nguvu sana aisee.Sisi tulipeleka kikosi kinachocheza mechi za kimataifa, Erasto Nyoni akaumizwa. Tulichogundua ni kwamba mlikula njama na timu tutakazokutana nazo zituumizie wachezaji.
Imebidi kocha apunguze kikosi.
Hahaaa. Sio njama bana. Niwe mkweli hata mi niliumia aiseee kwa kuumia kwa Erasto nyoni. Ila sijui Ndio soka la Kizanzibar lile yaani wanatumia nguvu sana aisee.
Ila kesho kazi mnayo.
Na kweli aiseee.Si tunawaitaga mdebwedo! Ndo wameamua kutuonesha kwamba wao siyo mdebwedo.