Kombe la Mapinduzi Zanzibar:FullTime:Yanga SC 1 na Malindi 2,Yanga Out!!

Kombe la Mapinduzi Zanzibar:FullTime:Yanga SC 1 na Malindi 2,Yanga Out!!

Naomba kujua
Kushiriki timu.inalipwa.kiasi gani?
Na.mshindi analipwa kiasi gani?

Naona kama.yanga wamepiga mahesabu kuendelea ni gharama zaidi na hakuna faida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu za Yanga ni kua heri wajitoe huku kwenye makundi kuliko kwenda kukutana na Mnyama huko mbeleni na kuvurumishiwa kipigo cha Mbwa Mwizi.
 
Ajali ajali.

20190108_064508.png
 
Hahahaaa. Ila si nasikia mmepeleka kikosi kama cha kwetu Zanzibar unadhani ingekuwaje hiyo mechi? Bora tumetoka.

Sisi tulipeleka kikosi kinachocheza mechi za kimataifa, Erasto Nyoni akaumizwa. Tulichogundua ni kwamba mlikula njama na timu tutakazokutana nazo zituumizie wachezaji.

Imebidi kocha apunguze kikosi.
 
Sisi tulipeleka kikosi kinachocheza mechi za kimataifa, Erasto Nyoni akaumizwa. Tulichogundua ni kwamba mlikula njama na timu tutakazokutana nazo zituumizie wachezaji.

Imebidi kocha apunguze kikosi.
Hahaaa. Sio njama bana. Niwe mkweli hata mi niliumia aiseee kwa kuumia kwa Erasto nyoni. Ila sijui Ndio soka la Kizanzibar lile yaani wanatumia nguvu sana aisee.

Ila kesho kazi mnayo.
 
Hahaaa. Sio njama bana. Niwe mkweli hata mi niliumia aiseee kwa kuumia kwa Erasto nyoni. Ila sijui Ndio soka la Kizanzibar lile yaani wanatumia nguvu sana aisee.

Ila kesho kazi mnayo.

Si tunawaitaga mdebwedo! Ndo wameamua kutuonesha kwamba wao siyo mdebwedo.
 
Back
Top Bottom